Ecobiz Sacco

Phoebe Mwambono (MSME)
Ecobiz Sacco
December 4, 2020
    

Nilipojiunga na Ecobiz sacco, sikutarajia yale yamekuwa katika biashara yangu. Biashara yangu kwa kweli imeimarika, Ecobiz imenisaidia saana;imekuwa ikinipa mikopo – kazini mwangu mara zingine naitishwa order kubwa zenye biashara yangu haiwezi kumudu lakini Ecobiz hunisupport naendea stock pahali huwa naendea na nakuja nasupply hizo orders